Random Posts

Siku ya Tatu ya Mafunzo ya Mfumo Mpya Wakuandaa Mipango na Bajeti za Serikali za Mitaa-Mwanza

 Ndg. Joktan Mikombo (Muwezeshaji) akiwaelekeza washiriki wa Mafunzo ya Mfumo Mpya wakuandaa Mipango na Bajeti za Serikali za Mitaa (PlanRep) namna ya kuingiza taarifa kwenye mfumo,Jijini Mwanza,Leo tarehe 26 Julai 2017
 Ngd. Salum Dhamin,Mchumi wa Halmashauri ya Kongwa akiwaelekeza washiriki wa Mafunzo ya Mfumo Mpya wakuandaa Mipango na Bajeti za Serikali za Mitaa (PlanRep) namna ya kuingiza taarifa kwenye mfumo,Jijini Mwanza,Leo tarehe 26 Julai 2017
Washiriki Wakiingiza taarifa wakati wa  Mafunzo ya kutumia Mfumo Mpya wakuandaa Mipango na Bajeti za Serikali za Mitaa (PlanRep) Jijini Mwanza,Leo tarehe 26 Julai 2017

Post a Comment

0 Comments