Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt.
Charles Mwijage (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo
pichani) wakati akielezea jambo kuhusu mikakati wa Serikali ya Tanzania ya viwanda
na mpango kazi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika-SADC mapema hii leo
jijini Dar es Salaam, kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kikanda wa
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika-SADC Bi. Sekela Mwaisela.
Picha na Eliphace Marwa - Maelezo

0 Comments