Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe
Mama Salma Kikwete wakivuna mahindi shambani kwao kijijini Msoga,
Chalinze, Mkoa wa Pwani kukamilisha msimu wa mavuno ambao amesema
umekuwa mzuri mwaka huu
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe
Mama Salma Kikwete wakifurahia mavuno mema ya mahindi shambani kwao
kijijini Msoga.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe
Mama Salma Kikwete wakiendelea kuvuna mahindi shambani kwao kijijini
Msoga
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea na kazi ya kuvuna

0 Comments