![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Benedict Mashiba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Ikulu jijini Dar es Salaam. |
Balozi
wa Tanzania nchini Malawi Benedict Mashiba akila kiapo cha uadilifu kwa
Viongozi mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini
Malawi Benedict Mashiba mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati
za utambulisho kutoka kwa Balozi wa Vietnam hapa nchini Nguyeni Kim Doahn,
Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Vietnam hapa nchini Nguyeni Kim Doahn mara baada ya kumaliza
mazungumzo pamoja na kupokea Hati za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati
za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Indonesia hapa nchini Prof. Ratlan Pardede,
Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na Balozi wa Indonesia hapa nchini Prof. Ratlan Pardede, Ikulu
jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati
za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Vatican hapa nchini Mwadhama Askofu Mkuu
Marek Solcynski, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Balozi wa Vatican hapa nchini Mwadhama Askofu Mkuu Marek Solcynski mara baada
ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini.
Balozi
wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef
Wachter akijitambulisha kabla ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho
kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Balozi wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Wachter mara baada ya kupokea hati zake za
Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati
za utambulisho kutoka kwa Balozi wa Uganda hapa nchini Richard Tumisiime
Kabonero Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Vietnam hapa nchini Nguyeni Kim Doahn akipigiwa wimbo wa Taifa mara baada ya
kuwasili Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
![]() |
| Balozi wa Vietnam hapa nchini Nguyeni Kim Doahn akipigiwa wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha Hati za Utambulisho. |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma
ya Brass Bendi ya Jeshi la Polisi ambayo ilifika Ikulu kwa ajili ya mapokezi ya
Mabalozi mbalimbali kutoka nje ya nchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Brass Bendi ya Jeshi
la Polisi Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU



















0 Comments