Mkuu wa Chuo cha
Maendeleo ya Jamii na Mwenyekiti wa Mafunzo Bw. Paschal Mahinyila akiwakaribisha
washiriki katika mafunzo Wakuu wa vyuo hao
kuhusu Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika
katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti mkoani Morogoro leo tarehe 01.08.2017.
Picha na Erasto Ching’oro WAMJW.
Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike (kushoto) akifafanua umuhimu wa uadilifu
kwa Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii(hawapo pichani) katika utendaji kazi
wa vyuo wakati wa mafunzo kwa wakuu wa vyuo hao kuhusu Udhibiti wa Viashiria
Hatarishi katika Uendeshaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika katika ukumbi wa Wakala
wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Mkurugenzi wa Utawala
na Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na
Watoto Bibi Deodata Makani(kulia) akifafanua mambo mbalimbali ya kiutawala kwa
Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini katika mafunzo kwa wakuu wa Vyuo hao
kuhusu Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika
katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Mhasibu Mkuu kutoka
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Bibi Fatuma Oloo(kulia)
akisisitiza jambo kuhusu udhibiti wa fedha kwa wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya
Jamii nchini katika mafunzo kwa wakuu wa vyuo hao kuhusu Udhibiti wa Viashiria
Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika katika ukumbi wa Wakala
wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Mkurugenzi wa
Ugavi na Manunuzi kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na
Watoto Bibi Martha Chuma (katikati) akifafanua mambo mbalimbali yahusuyo ugavi
na manunuzi kwa wakuu wa Vyuo vya
Maendeleo ya Jamii nchini katika mafunzo kwa wakuu wa Vyuo hao kuhusu Udhibiti
wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika katika ukumbi
wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Mkuu wa Kitengo
cha Sheria kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Bi. Vickness
Mayao(kulia) akitoa maelekezo kuhusu mikataba na masuala mbalimbali ya kisheria
kwa wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini katika mafunzo kwa wakuu wa Vyuo
hao kuhusu Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika
katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Mkaguzi wa
ndani kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Bibi.
Elightness Mchome(katikati) akifafanua umuhimu wa kuepuka hoja za ukaguzi kwa
wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini katika mafunzo kuhusu Udhibiti wa
Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo yanayoendelea katika ukumbi
wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Mkuu wa Chuo
cha Maendeleo ya Jamii Monduli Bw. Salim Mgalla(kulia) akiuliza swali kwa
wawezeshaji katika mafunzo kwa wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini katika
mafunzo kwa wakuu wa vyuo hao kuhusu kuhusu Udhibiti wa Viashiria Hatarishi
katika Utendaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za
miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Baadhi ya wakuu
wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii Nchini wakifuatilia wawasilishaji mada(hawapo
pichani) katika mafunzo kwa wakuu wa vyuo hao kuhusu Udhibiti wa Viashiria
Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika katika ukumbi wa Wakala
wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Mratibu wa Usimamizi
wa Viashiria Hatarishi Bw. Moris Jackson akifafanua masuala mbalimbali yahusuyo
Viashiria Hatarishi kwa wakuu wa vyuo vya maendeleo ya Jamii Nchini katika mafunzo
kwa wakuu wa vyuo hao kuhusu Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa
Vyuo hivyo yanayofanyika katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani
Morogoro leo 01.08.2017.
Kaimu Mkuu wa
Chuo (Utawala, Mipango na Fedha) Kutoka Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ruaha
Bi.Nadhaherieth Mshighath akiuliza swali kwa wawasilishaji mada (hawapo pichani)
katika mafunzo kwa wakuu wa vyuo hao katika mafunzo kwa wakuu wa vyuo hao
kuhusu Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika
katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Watendaji kutoka Wizara ya Afya
Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na washiriki kutoka Vyuo vya
Maendeleo ya Jamii nchini wakifuatilia kwa makini mafunzo ya Udhibiti wa
Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini yanayofanyika
katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.















0 Comments