Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A.
Mtunguja akisisitiza jambo mbele ya watumishi wa umma kutoka mikoa ya Songwe,
Iringa, Njombe na Mbeya alipokuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa semina ya siku
nane juu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Kisekta
(PlanRep) leo Jijini Mbeya.
Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za
Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID).
Watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa
Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa hiyo.
Mwakilishi wa Programu ya Uimarishaji wa Mifumo
ya Sekta za Umma (PS3) Makao Makuu Dar es Salaam Dkt. Gemini Mtei akielezea
jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya
wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka
ya Serikali za Mitaa (PlanRep)
leo
Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo
ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa
Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa
Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi
za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Mwakilishi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Mamlaka ya Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Bw. James Mtatifikolo akifafanua
jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya
wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka
ya Serikali za Mitaa (PlanRep)
leo
Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo
ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa
Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa
Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi
za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Meneja Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya
Sekta za Umma (PS3) mkoa wa Mbeya Bw. Gasper Materu akizungumza wakati wa hafla
ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya
Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina
hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma
(PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID).
Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa
Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na
Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Baadhi ya washiriki wa semina ya siku nane
kuhusu Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na
Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) wakifuatilia mada wakati wa ufunguzi wa semina
hiyo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inayoendeshwa kupitia Programu ya
Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la
Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka
kada za Maafisa Mipango, Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama,
Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe,
Iringa na Songwe.
Kiongozi wa wawezeshaji Bw. Frank Makua Charles
akichokoza mada wakati wa semina katika akichokoza mada wakati siku ya kwanza
ya semina ya siku nane kuhusu Mfumo mpya wa
kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hii
ya siku nane inaendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za
Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID)ambapo
imeshirikisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya,
Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za
mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Mmoja ya wawasilisha mada kutoka OR – TAMISEMI
Bw. Jeremia Mtawa akiwasilisha mada kuhusu namna mfumo wa PlanRep utakavysaidia
katika kuimarisha utendaji wa Halmashauri nchini wakati wa semina semina ya
siku nane kuhusu Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma katika upangaji mipango
na bajeti (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hii ya siku nane inaendeshwa kupitia
Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa
Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID) ambapo inashirikisha watumishi
kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama,
Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe,
Iringa na Songwe.
Mwakilishi wa Programu ya Uimarishaji wa Mifumo
ya Sekta za Umma (PS3) Dar es Salaam Dkt. Gemini Mtei akiwasilisha mada kuhusu Uimarishaji
wa Mfumo wa Sekta za Umma (PlanRep) utakavyosaidia katika upimaji matokeo na utendaji wa Halmashauri nchini, wakati wa
semina kuhusu mfumo huo leo Jijini Mbeya. Semina hii ya siku nane inaendeshwa kupitia
Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa
Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID)ambapo imeshirikisha watumishi
kutoka kada za Maafisa Mipango, Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa
Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya,
Njombe, Iringa na Songwe.
Tawala wa Mkoa
wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya washiriki washiriki wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya
Serikali za Mitaa (PlanRep) mara baada ya kufungua semina
hiyo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji
wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu
wa Marekani (USAID) ambapo inahusisha watumishi wa umma kutoka kada za Maafisa
Mipango,Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu
kutoka Halmashauri na Mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.
Picha
zote na: Idara ya Habari – MAELEZO, Mbeya










0 Comments