Afisa Habari wa Bunge, Ndg. Patson Sobha (kushoto)akizungumza
na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Maria
de Mattias iliyopo kisasa Mjini Dodoma walipotembelea Banda la Bunge katika
Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea leo
kwenye Viwanja vya Nzunguni, Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)

0 Comments