Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Chama cha Majaji na
Mahakimu kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CMJA) leo Jijini Dar es
Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika
na thabiti kiutendaji”
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma
akielezea jambo mbele ya washiriki wa mkutano wa wananchama wa Chama cha Majaji
na Mahakimu kutoka nchi za Jumuiya ya Madola (CMJA) leo Jijini Dar es Salaam.
Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na
thabiti kiutendaji”
Rais wa Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania
Mhe. Jaji Ignas Kitusi akifafanua jambo mbele ya washiriki wa mkutano wa Chama
cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi wananchama wa Jumuiya ya Madola (CMJA) leo
Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi,
inayowajibika na thabiti kiutendaji”
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Rais wa Chama cha Majaji
na Mahakimu kutoka nchi wananchama wa Jumuiya ya Madola (CMJA) Jaji John
Rounders wakati wa ufunguzi wa Mkutano
wa chama hicho leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.
Prof. Paramagamba Kabudi. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama
shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”
Kikundi cha sanaa kutoka shule ya Sekondari
Jitegemee wakituimbuza katika mkutano wa Chama cha Majaji na Mahakimu kutoka
nchi wananchama wa Jumuiya za Madola (CMJA) leo Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu
ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti
kiutendaji”
Gavana wa Benki Kuu Tanzania Prof. Benno Ndulu
(wa kwanza kushoto) na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Othman Chande (wa pili) wpamoja
na baadhi ya Majaji Wakuu kutoka nchi mbalimbali za Jumuiya ya Madola akiwemo
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu ya Kenya Jaji Francis Maraga (aliyekaa juu)
wakifuatilia mkutano wa Chama cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi wanachama wa
Jumuiya ya Madola (CMJA) leo Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni
“Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya washiriki wanawake wa Mkutano wa Chama cha Majaji na
Mahakimu kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CMJA) mara baada ya
kufungua mkutano huo leo Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni
“Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”
Picha na: Frank Shija
- MAELEZO







0 Comments