Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa
washiriki wa mkutano wa kwanza wa Kimataifa wa wadau wa usafiri wa anga nchini
mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka
ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari akifafanua jambo kwa washiriki wa
Mkutano wa kwanza wa Kimataifa wa wadau wa usafiri wa anga mapema
hii leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Leonard Chamuriho akizungumza na washiriki wa Mkutano wa kwanza
wa Kimataifa wa wadau wa usafiri wa anga mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Eliphace
Marwa - Maelezo




0 Comments