Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji
Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila Mavika (kushoto) akishiriki
mjadala kuhusu masuala ya maadili, hususan mavazi kwa watumishi wa umma na
wateja wanaofuata huduma katika taasisi za umma katika kipindi cha LEO
TENA kinachotangazwa na kituo cha redio cha Clouds FM.
Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji
Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila Mavika (kushoto) akifafanua
kuhusu muonekano na aina ya mavazi yanayopaswa kuvaliwa na watumishi wa
umma na wateja wanaofuata huduma katika taasisi za umma katika kipindi cha
LEO TENA kinachotangazwa kituo cha redio cha Clouds FM.
Mmoja kati ya watangazaji
wa Kipindi cha “LEO TENA” kinachotangazwa na kituo cha redio cha Clouds FM,
Bw. Musa Hussein (aliyesimama) akiwa katika mjadala na Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji
Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila Mavika (kushoto).
0 Comments