Mbunge wa Mlalo(CCM) Mhe.Rashid Shangazi
akiuliza swali katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji
Mhe.Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha nne
cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
Mhe.William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne
cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika
kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Newala Mjini Mhe.Capt.George Mkuchika akiuliza
swali katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye akizungumza
jambo na Mbunge wa Kasulu Mjini Mhe.Daniel Nsanzugwako katika kikao cha nne cha
mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk Medard
Kalemani akiteta jambo na Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Mhe.Dk
Ashatu Kijaji katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Kuteuliwa(CCM) Mhe.Anne KIlango
Malecela akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye katika kikao
cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma.
Mbunge wa Kuteuliwa(CCM) Mhe.Salma
Kikwete akizungumza jambo na Mbunge wa
Chalinze(CCM) Mhe.Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao cha nne cha mkutano wa nane
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.










0 Comments