Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Watoto toka
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Margaret Mussai
akielezea jambo wakati wa kikao na Wahariri wa Vyombo vya Habari kuhusu
maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike ambayo kitaifa inatarajiwa
kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime,
Mkoani Mara. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali, Save
the Children Tanzania Bi. Jasminka Milovanic
Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali, Save
the Children Tanzania Bi. Jasminka Milovanic akifafanua jambo wakati wa kikao
na Wahariri wa Vyombo vya Habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho
ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika
tarehe 11 Oktoba Tarime, Mkoani Mara. Kukulia
ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Watoto toka Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Margaret Mussai.
Afisa Habari wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bw. Anthony
Ishengoma akisisitiza jambo wakati wa kikao na Wahariri wa Vyombo vya Habari
jana jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa
Kike ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime, Mkoani Mara.
Mwakilishi kutoka asasi ya kiraia ya CAMFED Bi.
Theresia Moyo akielezea jambo mbele ya Wahariri wa Habari (hawapo pichani) jana
jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike
ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime, Mkoani Mara. Kutoka kulia ni Mwezeshaji wa
Kitaifa toka Taasisi ya Tanzania Girl Guides Bi. Emiliana Stanslaus na
Mwakilishi wa Room to Read Bi. Rachel Mbushi.
Mtaalam wa Haki za Watoto toka Shirika lisilo la
Kiserikali, Save the Children Tanzania Bi. Neema Bwaira akisisitiza jambo
wakati wa kikao na Wahariri wa Vyombo vya Habari jana jijini Dar es Salaam
kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike ambayo kitaifa
inatarajiwa kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime,
Mkoani Mara. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Familia toka Wizara
ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Rose Minja.
Mhariri wa Habari
kutoka kituo cha televisheni cha Channel Ten Bibi. Esther Zelamula akichangia
mada wakati wa wa kikao na Wahariri wa Vyombo vya Habari jana jijini Dar es
Salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike ambayo kitaifa
inatarajiwa kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime,
Mkoani Mara.
Na: Mpiga Picha Wetu.







0 Comments