Mwanasheria kutoka kituo cha Sheria na Haki za
Binadamu, Ndg. Harold Sungusia akizungumza na Wajumbe/Wabunge wa kamati za Kilimo,
Mifugo na Uvuvi, kamati ya Nishati na Madini na kamati ya Miundombinu katika semina
ya kuwajengea uwezo kuhusu Miswada ya uchambuzi wa Sheria katika kikao kilichofanyika
leo Mjini Dodoma, semina hiyo imeratibiwa na Mradi wa pili wa kuwaongezea uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP
II) chini ya udhamini wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
Mkufunzi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na
Uhusiano waAfrika Mashariki, Ndg.Ally Masabo (aliesimama) akitoa maada kwa Wajumbe
wa kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kamati ya Hesabu za Serikali
(PAC) na Wajumbe wa Vyama vya Kibunge wanaowakilisha Taasisi za Kibunge za kimataifa
ambao ni PAP, CPA, SADC-PF, IPU na EU –ACP katika semina ya kuwajengea uwezo
kuhusu maswala ya Itifaki na diplomasia katika kikao kilichofanyika leo Mjini
Dodoma, semina hiyo imeratibiwa na Mradi wa pili wa kuwaongezea uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP
II) chini ya udhamini wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
Wajumbe/Wabunge wa kamati za Kilimo, Mifugo na
Uvuvi, kamati ya Nishati na Madini na kamati ya Miundombinu wakifuatilia semina
ya kuwajengea uwezo kuhusu Miswada ya uchambuzi wa Sheria katika kikao kilichofanyika
leo Mjini Dodoma, semina hiyo imeratibiwa na Mradi wa pili wa kuwaongezea
uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP II) chini ya udhamini wa Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
Wajumbe wa kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na
Usalama, kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) na Wajumbe wa Vyama vya Kibunge
wanaowakilisha Taasisi za Kibunge za kimataifa ambao ni PAP, CPA, SADC-PF, IPU
na EU –ACP wakifuatilia semina ya kuwajengea uwezo kuhusu maswala ya Itifaki na
diplomasia katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma, semina hiyo imeratibiwa
na Mradi wa pili wa kuwaongezea
uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP II) chini ya udhamini wa Shirika la Maendeleo
la Umoja wa Mataifa (UNDP).
Wajumbe wa kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na
Usalama, kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) na Wajumbe wa Vyama vya Kibunge
wanaowakilisha Taasisi za Kibunge za kimataifa ambao ni PAP, CPA, SADC-PF, IPU
na EU –ACP, kulia ni Mheshimiwa , Dkt.Christine Ishengoma, Mheshimiwa Machano
Said (katikati) na kushoto ni Mheshimiwa, Juma Hija wakifuatilia semina ya
kuwajengea uwezo kuhusu maswala ya Itifaki na diplomasia katika kikao kilichofanyika
leo Mjini Dodoma, semina hiyo imeratibiwa na Mradi wa pili wa kuwaongezea uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP
II) chini ya udhamini wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
Wajumbe/Wabunge wa kamati za Kilimo, Mifugo na
Uvuvi, kamati ya Nishati na Madini na kamati ya Miundombinu wakiwa katika semina
ya kuwajengea uwezo kuhusu Miswada ya uchambuzi wa Sheria katika kikao kilichofanyika
leo Mjini Dodoma, semina hiyo imeratibiwa na Mradi wa pili wa kuwaongezea
uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP II) chini ya udhamini wa Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Wa kwanza ni Mheshimiwa, Bhagwanji
Meisuria, Mheshimiwa Dua Nkurua (katikati) na Mheshimiwa Rashid Chuachua (kushoto).
Wajumbe/Wabunge wa kamati za Kilimo, Mifugo na
Uvuvi, kamati ya Nishati na Madini na kamati ya Miundombinu wakiwa katika semina
ya kuwajengea uwezo kuhusu Miswada ya uchambuzi wa Sheria katika kikao kilichofanyika
leo Mjini Dodoma, semina hiyo imeratibiwa na Mradi wa pili wa kuwaongezea
uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP II) chini ya udhamini wa Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Wa kwanza ni Mheshimiwa, Mashimba Ndaki.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)

0 Comments