Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya
Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (wa
kwanza kulia), akimpokea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora Kapt.(Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) mapema leo
kabla ya kuongea na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma,
jijini Dar es salam.Wengine katika picha ni watendaji wa Sekretarieti ya Ajira.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe.
George Mkuchika (Mb) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za Sekretareti ya
Ajira katika Utumishi wa Umma, kabla ya kuongea na watumishi na watendaji wa
Sekretarieti hiyo jijini Dar es salaam kuhusu utekelezaji wa majukumu na
utatuzi wa changamoto zilizopo.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya
Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi
akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) kuongea na watumishi
wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi (hawapo pichani).
Katibu wa
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi akifanunua hoja
alizoulizwa kuhusu utendaji wa taasisi anayoiongoza
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George
Mkuchika (Mb) akiongea na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa
Umma (hawapo pichani)
Mtendaji Mkuu wa Chuo cha
Utumishi wa Umma (TPSC) Dkt. Henry Mambo akitoa maelezo kuhusu mafanikio na
changamoto za TPSC kwa Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.
(Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb).
Watendaji wa Chuo cha
Utumishi wa Umma (TPSC) wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb).
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George
Mkuchika (Mb) akitoa ufafanuzi kuhusu kwa vyombo vya habari kuhusu umuhimu wa
vikao kazi na taasisi anazoziongoza,
Mtendaji Mkuu wa Chuo
cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt. Henry Mambo (kushoto) akikabidhi
ripoti ya mafanikio na changamoto kuhusu TPSC kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe.
George Mkuchika (Mb).
Mtumishi wa TPSC
akiwasilisha maoni kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) wakati wa
kikao kilichofanyika
Mtumishi wa TPSC
akiwasilisha maoni kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) wakati wa
kikao kilichofanyika jijini Dar es salaam
0 Comments