Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akisalimiana na Balozi wa Ujerumani nchini, Dk. Detlef Wächter ofisini
kwake mjini Dodoma leo ambapo wamejadili mambo mbalimbali ya kuimarisha
ushirikiano baina ya Tanzania na Ujerumani katika kuendeleza Uhifadhi
na Utalii nchini.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akizungumza na Balozi wa Ujerumani nchini, Dk. Detlef Wächter (kushoto)
ofisini kwake mjini Dodoma leo ambapo wamejadili mambo mbalimbali ya
kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na Ujerumani katika kuendeleza
Uhifadhi na Utalii nchini.
Picha ya
pamoja ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa
pili kulia) na Balozi wa Ujerumani nchini, Dk. Detlef Wächter (katikati)
na ujumbe wake baada ya mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwake mjini
Dodoma leo ambapo wamejadili mambo mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano
baina ya Tanzania na Ujerumani katika kuendeleza Uhifadhi na Utalii
nchini.
Waziri wa Maliasili na
Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Balozi wa China nchini,
Bi. Wang Ke ofisini kwake mjini Dodoma leo ambapo amemuomba kushirikiana
na Wizara yake kuweka mkakati wa pamoja wa kuongeza idadi watalii na
wawekezaji katika sekta hiyo kutoka nchini China.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akipokea zawadi
ya taswira la Ua la Taifa la China kutoka kwa Balozi wa nchi hiyo
nchini, Bi. Wang Ke ofisini kwake mjini Dodoma leo. Amemuomba balozi
huyo kushirikiana na Wizara yake kuweka mkakati wa pamoja wa kuongeza
idadi watalii na wawekezaji katika sekta hiyo kutoka nchini China.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akimsikiliza Balozi wa
China nchini, Bi. Wang Ke alipotembelewa na balozi huyo ofisini kwake
mjini Dodoma leo ambapo amemuomba kushirikiana na Wizara yake kuweka
mkakati wa pamoja wa kuongeza idadi watalii na wawekezaji katika sekta
hiyo kutoka nchini China.
0 Comments