Wasamaria wema wakimsaidia mwendesha pikipiki maarufu kwa jina la
bodaboda yenye nambari MC307 BPG (jina halikupatikana) amabaye
alidondoka chini baada ya kuganga kwa nyuma gari dogo aina ya Toyota
RAV 4 nambari T924 BPG kwenye eneo la Kanisa Kuu Katoliki la Paulo wa
Msalaba la Jimbo Kuu la Dodoma, Desemba 17, 2017. Wasamalilia Wema hao
walimpeleka kwenye hospitali ya mkoa wa Dodoma kwa matibabu. (Picha na
Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu)


0 Comments