MWENYEKITI wa UWT Taifa Mama Kabaka akiwahutubia wananchi wa UWT Mkoa wa
Dodoma katika viwanja vya Makao Makuu ya CCM White House Dodoma wakati
wa mapokezi na kutambulishwa kwa Wananchi wa Mkoa wa Dodoma baada ya
kuchaguliwa kwake na Mkutano Mkuu wa Tiosa wa UWT uliofanyika hivi
karibuni.
MWENYEKITI wa UWT Mkoa wa Dodoma Neema Majule akimtambulisha Mwenyekiti
wa UWT Taifa Mhe. Mama Kabaka wakati wa mapokezi yalioandaliwa na Mkoa
wa Dodoma kwa kumtambulisha kwa Wananawake wa UWT Dodoma katika viwanja
vya CCM Makao Makuu White House.(Picha na Othman Maulid)
MWENYEKITI wa UWT Mama Kabaka apokelewa na Wanawake wa UWT Mkoa wa
Dodoma na kukaribishwa kwa kwa Tambiko na Wazee wa UWT Mkoa wa Dodoma
katika viwanja vya Makao Makuu ya CCM White House leo 16-12-2017.(Picha
na Othman Maulid)
MAKAMU Mwenyekiti wa UWT Thuwaiba Kisasi akipokelea kwa kuvishwa vazi la
Mkoa wa Dodoma wakati wa tambiko la kuwakaribisha Mkoano Dodoma
leo.(Picha na Othman Maulid)






0 Comments