GWANDA
Waziri Mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya #Chadema, Edward #Lowassa akiwa amevalia mavazi rasmi yanayotambulisha chama cha #Chadema, kwa mujibu wa msemaji wake, Lowassa atakuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Kinondoni katika viwanja vya Ali Mapilau jijini Dar es Salaam.

0 Comments