Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru mara
baada ya kushiriki Sakramenti Takatifu katika Ibada ya jumapili iliyofanyika
katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru kwa
kusali pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary
Majaliwa mara baada ya wote kwa pamoja
kushiriki Sakramenti Takatifu katika Ibada ya Jumapili iliyofanyika katika
Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada
ya Jumapili pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli. Ibada hiyo ya Jumapili
ilifanyika katika Kanisa Katoliki la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Wanakwaya
kutoka Chuo cha Ardhi jijini Dar es
Salaam wakiimba kwenye Ibada hiyo ya Jumapili ilifanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada
ya Jumapili na Mke wake Mama Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama
Mary Majaliwa katika Kanisa Katoliki la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Fr. Asis Mendokta
akihubiri katika Ibada ya jumapili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoka Kanisani
pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli mara baada ya Ibada ya jumapili
iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinunua Nakala za
CD ya kwaya kutoka Chuo cha Ardhi mara baada ya Ibada. Kushoto ni Mke wake Mama
Janeth Magufuli akifurahia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akipokea Kalenda mara baada ya kupewa na moja ya Waumini wa
Kanisa hilo mara baada ya Ibada ya jumapili.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
waumini wengine mara baada ya ibada ya jumapili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki
la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU














0 Comments