Random Posts

Hivi ndivyo Rais Kagame alivyowasili katika uwanja wa ndege wa Mwl. Julius Nyerere Dar es Salaam Jumapili Januari 14, 2018

Angalia Video Hapa Chini.
Hivi ndivyo Rais wa Rwanda Paul Kagame alivyowasili katika uwanja wa ndege wa Mwl. Julius Nyerere Dar es Salaam Januari 14, 2018 tayari kwa ziara yake ya siku moja nchini Tanzania. Rais Kagame amepokelewa na mwenyeji wake Rais John Magufuli na kisha kuelekea Ikulu kwaajili ya mazungumzo.

Post a Comment

0 Comments