Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji
Omar Kheir kwa niaba ya Waziri wa Nchi ya
Ofisi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu
akifungua pazia akiashiria kufungua Wodi ya Wazazi Kituo cha Afya
Tumbatu Gomani .
(Picha na Kijakazi Abdalla Maelezo)

0 Comments