Washirika
wa Maendeleo kutoka nchi mbalimbali duiani wa sekta ya Miundombinu ya Usafiri
walioshiriki katika mkutano wa majadiliano unaofanyika katika viwanja vya Speke
Resort Munyonyo-Uganda.
Wapili
kutoka kulia Mhe. Ummy Mwalimu Waziri wa Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na wataalam wengine wa sekta ya Afya walioshiriki katika Mkutano
wa Majadiliano wa sekta ya Afya katika ukumbi wa mikutano wa Speke Resort Munyonyo-Uganda.
Baadhi
ya Washiriki wa Tanzania katika Mkutano wa Majadiliano wa sekta ya Afya walioshiriki
katika mkutano huo unaoendelea kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Speke
Resort Munyonyo-Uganda.
Bw.
Plasduce Mbossa katikati Mfanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kushoto
yake ni Bi. Lydia Mallya ambaye pia ni mfanyakazi wa Mamlaka ya Bandari
Tanzania pamoja na Bi. Judith Nzamba aliyevaa gauni la Bluu mfanyakazi wa
Shirika la Reli Tanzania wamesimama katika banda lao la maonesho ya Miundombinu
ya Usafiri yanayofanyika katika viwanja vya Speke Resort Munyonyo-Uganda.
0 Comments