Kamishna Mkuu wa Mamlaka
ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere akisisitiza jambo wakati alipokutana
na Makamu Kamishna wa Idara ya Huduma za Forodha Korea, Roh Suk-Hwan (kushoto)
pamoja na ujumbe wake jijini Dar es Salaam ili kujadili maendeleo ya miradi
mbalimbali inayosimamiwa na Idara hiyo, ikiwemo Mfumo wa Uondoshaji Mizigo
Bandarini (TANCIS) na dirisha moja (Single Window System).

0 Comments