Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisalimiana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid mara
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume,Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisalimiana na Mshauri wa Rais wa Zanzibar Pemba Dkt. Maua Daftari mara
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume,Pemba.
(Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais)

0 Comments