Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijiandaa kuweka shada
la maua kwenye kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma lililopo
Wawi,Pemba.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Dk.
Omar Ali Juma (26 Juni 1941 – 4 Julai 2001) alikuwa Makamu wa Rais wa
Serikali ya Awamu ya Tatu nchini Tanzania, iliyokuwa inaongozwa na Rais
Benjamin William Mkapa
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada
la maua kwenye kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma lililopo
Wawi,Pemba.



0 Comments