Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisaidiwa na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kufunguliwa
rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa
upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini
Arusha leo Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikata utepe akiwa na viongozi wengine pamoja na wadau waliosaidia
ujenzi wa kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia
jijini Arusha kwenye sherehe zilizofanyika leo Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo na Mkuu wa Jeshi la
Polisi IGP Simon Sirro wakifunua pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa
nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya
kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha leo
Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelezo ya ujenzi wa kituo maalumu ya Jeshi la Polisi cha
Utalii na Diplomasia jijini Arusha ambacho kimejengwa na wadau wa
utalii kwenye sherehe zilizofanyika Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na wadau waliosaidia
ujenzi wa kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia
jijini Arusha kwenye sherehe zilizofanyika Aprili 7, 2018
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na baadhi ya familia za askari polisi baada ya kufungua rasmi
nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya
kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha Aprili 7, 2018
Picha na IKULU

0 Comments