Askari wa Jeshi la Polisi wa kikosi maalumu cha
kulinda viongozi wakionesha namna kinavyoweza kupambana na
maadui katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ikiwa ni sehemu
ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa
kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Gari maalumu la maji ya kuwashawasha likionesha
namna kikosi cha kutuliza ghasia cha Jeshi la Polisi kinavyoweza
kupambana na waandamanaji katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini
Arusha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya miaka 46
ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani
Karume Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri
Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine meza kuu
wakipiga makofi baada ya kuona maonesho ya vitendo ya vikosi vya
kupambana na ghasia na kulinda viongozi katika Uwanja wa Sheikh Amri
Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo
cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli na viongozi wengine meza kuu wakioneshwa na Kamishina wa
Operesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi (CP) Nsato Marijani nakala za
matokeo ya uchunguzi wa shambulizi la bomu wakati wa maonesho ya
mapambano na magaidi yaliyofanywa na vikosi maalumu vya jeshi la polisi
katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya
kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati
Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri
Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Kikosi cha bendi ya Jeshi
la Polisi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini
Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa
kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri
Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la askari polisi
katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya
kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati
Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri
Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipokea saluti ya heshima baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini
Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa
kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Picha na IKULU

0 Comments