Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali
Mohamed Shein, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Balozi Ali Karume
(wapili kushoto) wakishiriki katika dua ya kumwombea Rais wa Kwanza
wa Zanzibar, Abeid Aman Karume kwenye kaburi la Hayati Karume
lililopo Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar Aprili 7, 2018.
Wanne kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na
watatu kushoto ni Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali
Mohamed Shein, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Balozi Ali Karume
(wapili kushoto) wakishiriki katika dua ya kumwombea Rais wa Kwanza
wa Zanzibar, Abeid Aman Karume kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mini
Zanzibar Aprili 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Zanzibar DKt. Ali Mohammed Shein akishiriki katika dua
ya kumkwombea Rais wa kwanza wa Zanzibar, Aman Abeid Karume kwenye Ofisi
Kuu ya CCM iliyopo Kisiwandui Zanzibar Aprili 7, 2018. Watatu kulia ni
ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wanne kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu
ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi.Wapili kulia ni Mufti wa Zanzibar
Sheikh Saleh Kabi . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein akishiriki katika dua
ya kumwombea Rais wa kwanza wa Zanzibar, Aman Abeid Karume kwenye Ofisi
Kuu ya CCM iliyopo Kisiwandui Zanzibar Aprili 7, 2018. Watatu kulia ni
ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wanne kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu
ya Pili, Ali Hassan Mwinyi. Wapili kulia ni Mufti wa Zanzibar Sheikh
Saleh Kabi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akisalimiana na Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM,
Kisiwandui kushiriki katika dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa
Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018. Katikati ni Rais Mstaafu wa
Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa
Zanzibar, Aman Abeid Karume wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya
CCM, Kisiwandui kushiriki katika dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa
Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018. Katikati ni Mufti wa
Tanzania, Sheikh , Abubakary Zubeir.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati alipowasili kwenye Ofisi
Kuu ya CCM, Kisiwandui kushiriki katika dua ya kumwombea Rais wa Kwanza
wa Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimian na Rais Mstaafu wa
Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya
CCM, Kisiwandui kushiriki katika dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa
Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi Ali Karume
wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui kushiriki katika
dua ya kumwombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili
7, 2018. Kulia ni Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Augustine Mahiga
wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui kushiriki katika
dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili
7, 2018.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed
Mahmoud (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)










0 Comments