Mtakwimu Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya
Takwimu (NBS) Bw. Stephano Cosmas
akiwasilisha mada kuhusu hali ya malaria hapa nchini wakati wa mafunzo ya uandishi
wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma .
Mtakwimu Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya
Takwimu Bibi Phausta Ntigiti akiwasilisha mada kuhusu faida ya lugha ya kitakwimu na takwimu wakati
wa mafunzo ya uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma .
Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya uandishi wa
habari za kitakwimu Bi Sharon Sauwa akisisitiza jambo wakati wa majadiliano ya
washiriki wa mafunzo ya uandishi wa
habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma .
Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bibi Beatrice Lyimo akisisitiza jamnbo wakati
wa mafunzo ya uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma .
Meneja wa Takwimu Idara ya Kodi
Bw. Fred Matola akisisitiza kuhusu umuhimu wa takwimu wakati wa mafunzo
ya uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma kwa waandishi wa
habari.
Sehemu ya
washiriki wa mafunzo ya uandishi wa
habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma kwa waandishi wa habari
wakimsikiza Mtakwimu Mwandamizi kutoka
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw.
Stephano Cosmas akiwasilisha mada kuhusu hali ya malaria hapa nchini.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)
Bw. Said Ameir akiwasilisha mada kuhusu faida za uandishi wa habari unaotumia takwimu.
(Picha
na Frank Mvungi- MAELEZO)

0 Comments