Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia)akizungumza na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) alipomtembelea Mei 25,2018 Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiongozana na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) wakielekea katika Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) alipomtembelea ndani ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) alipomtembelea leo ndani ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma. Wengine ni wageni Mbali mbali waliokuja kushuhudia jinsi Bunge linavyofanya kazi yake
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akipunga mikono pamoja na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) baada ya kutambulishwa ndani ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)

0 Comments