Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mbunge wa Mtwara Vijijini, Mhe. Hawa Ghasia akisisitiza jambo wakati wa semina ya uandaaji na mapitio ya Bajeti ya serikali (Tanzania) iliyofanyika leo katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mbunge wa kigoma kusini, Mhe. Hasna Mwilima akizungumza jambo wakati wa semina ya uandaaji na mapitio ya Bajeti ya serikali (Tanzania) iliyofanyika leo katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mbunge wa Mafia, Mhe. Mbaraka Dau akizungumza jambo wakati wa semina ya uandaaji na mapitio ya Bajeti ya serikali (Tanzania) iliyofanyika leo katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mbunge wa Muheza, Mhe. Adadi Rajabu akizungumza jambo wakati wa semina ya uandaaji na mapitio ya Bajeti ya serikali (Tanzania) iliyofanyika leo katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti wakifuatilia maada kuhusu uandaaji na mapitio ya Bajeti ya serikali (Tanzania) katika semina iliyofanyika leo katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Mashimba Ndaki (kushoto), Mhe. Balozi Adadi Rajabu (katikati) na Mhe. Martha Umbulla (kulia) wakifuatilia maada kuhusu uandaaji na mapitio ya Bajeti ya serikali (Tanzania) katika semina iliyofanyika leo katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Mchumi mwandamizi, Wizara ya fedha na Mipango Ndg. Meshack Anyingisye (katikati) akitoa maada kuhusu uandaaji na mapitio ya Bajeti ya serikali (Tanzania) katika semina iliyofanyika leo katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
(PICHA NA DEONISIUS SIMBA – OFISI YA BUNGE)

0 Comments