Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa 26 wa mwaka wa wanahisa jijini Dar es Salaam Juni 7, 2018
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya TPB, Dkt. Edmund Mndolwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam Juni 8, 2018 wakati wa Mkutano wa 26 wa Mwaka wa Wanahisa wa benki hiyo. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo Bw. Sabasaba Moshingi.
No comments:
Post a Comment