Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 20 wa Taasisi za Kifedha Nchini wenye lengo la kupitia na kutatua changamoto mbalimbali katika sekta hiyo. Mkutano huo umefunguliwa tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma.

0 Comments