Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akielekea kwenye ukumbi wa Mkutano kwa ajili ya kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za mabadiliko ya
tabianchi (COP26) unaofanyika Glasgow, Scotland leo tarehe 01 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi
Green Climate Fund (GCF) Yannick Glermarec kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za mabadiliko ya
tabianchi (COP 26) unaofanyika Glasgow, Scotland leo tarehe 01 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu
wa Mfuko wa Kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi Green Climate Fund
(GCF) Yannick Glermarec mara baada ya kuzungumza nae Glasgow, Scotland leo tarehe 01 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Malawi
Dkt. Lazarus Chakwera kabla ya kuanza kwa Mkutano wa wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi
(COP 26) unaofanyika Glasgow, Scotland leo tarehe 01 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na
Rais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera kabla ya kuanza kwa Mkutano wa wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi
(COP 26) unaofanyika Glasgow, Scotland leo tarehe 01 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika pichana Waziri Mkuu
wa Uingereza Mhe. Boris Johnson (kushoto) pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa
Mataifa Antonio Guterres (kulia) mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa
Mikutano mjini Glasgow, Scotland kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano
wa COP26 leo tarehe 01 Novemba, 2021.
0 Comments