Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakiwa katika picha ya pamoja na
MjumbeMaalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya Biasharakati ya
Tanzania na Uingereza Mhe. Lord Walney mara baada ya kuzungumza naye katika mji
wa Glasgow, Scotland leo tarehe 31 Oktoba, 2021. Mhe Rais Samia ameshawasili
Glasgow kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja
wa Mataifa utakaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi (COP 26).
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na
MjumbeMaalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya Biasharakati ya
Tanzania na Uingereza Mhe. Lord Walney mara baada ya kuzungumza naye katika mji
wa Glasgow, Scotland leo tarehe 31 Oktoba, 2021. Wengine katika picha wa kwanza
(Kushoto) ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi
LiberathaMulamula na wa kwanza (kulia) ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza
Dkt. Asha Rose Migiro
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na MjumbeMaalum wa
Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya Biashara Mhe. Lord Walney wa kwanza
kulia katika mji wa Glasgow, Scotland leo tarehe 31 Oktoba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na MjumbeMaalum wa
Waziri Mkuu wa Uingereza anayeshugulikia masuala ya Biasharakati ya Tanzania na
Uingereza Mhe. Lord Walney wa kwanza kulia katika mji wa Glasgow, Scotland leo
tarehe 31 Oktoba, 2021.
PICHA NA IKULU

0 Comments