Subscribe Us

header ads

MHE. RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA KIABAKARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kiabakari Wilaya Butiama  alipowasili Mkoani Mara kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku leo Tarehe 04 Februari  2022.

Post a Comment

0 Comments