Sunday 4 June 2023

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Azindua Ndege Mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la ATCL Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar Mhe. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCLkwenye hafla fupi iliyofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suruhu Hassani akikata utepe wakati akizindua Ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 676 – 300F ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL)  katika Viwanja vya  ndege vya Kimataifa vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo tarehe 3/6/2023 jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suruhu Hassani, Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Makumu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango wakiwasili katika viwanja vya  ndege vya Kimataifa vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kushiriki hafla ya mapokezi ya ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767 – 300 F yenye uwezo wa kubeba Tani 54 kwa safari moja iliyofanyika katika viwanja vya  ndege vya Kimataifa vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo tarehe 3/6/2023 jijini Dar es Salaam.
Maelfu ya wananch wakiwa katika  hafla ya mapokezi ya ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F  yenye uwezo wa kubeba Tani 54 kwa safari moja iliyofanyika katika viwanja vya  ndege vya Kimataifa vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo tarehe 3/6/2023 jijini Dar es Salaam  itakayopokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Hassan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suruhu Hassani, Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Makumu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Mjaliwa, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) Ladislaus Matindi, Katibu wa NEC, Itikadi wa Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Sophia Edward Mjema wakiwa katika picha ya pamoja katika hafla ya mapokezi ya ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767 – 300 F yenye uwezo wa kubeba Tani 54 kwa safari moja iliyofanyika katika viwanja vya  ndege vya Kimataifa vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo tarehe 3/6/2023 jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suruhu Hassani akipanda katika  ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767 – 300 F yenye uwezo wa kubeba Tani 54 kwa safari moja  katika viwanja vya  ndege vya Kimataifa vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa kwenye Chumba cha Marubani ya Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL mara baada ya kuizindua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Mama Mbonimpaye Mpango pamoja na Mama Mariam Mwinyi mara baada ya kuzindua Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 3/6/ 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akishuka kwenye Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 3/6/2023 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mmoja wa Marubani walioileta Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL Kapteni Neema Swai mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 3/6 /2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mmoja wa Marubani walioileta Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL Kapteni Neema Swai mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 3/6 /2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Marubani walioileta Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL Captain Neema Swai mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalumu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 3 /6/ 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kwenye hafla ya uzinduzi wa Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalumu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 3 / 6 /2023

PICHA ZOTE NA-PICHA IKULU

No comments:

Post a Comment