Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali pamoja na
Wananchi katika Sherehe za Miaka 59 ya Uhuru wa Zambia zilizofanyika kwenye
Viwanja vya Ikulu ya Lusaka Nchini Zambia 24 Oktoba, 2023.
Viongozi mbalimbali wakicheza muziki katika Sherehe za Miaka 59 ya Uhuru wa Zambia zilizofanyika katika Viwanja vya Ikulu ya Lusaka Nchini Zambia tarehe 24 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akigonganisha Glass na mwenyeji
wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema kwenye Sherehe za Miaka 59 ya Uhuru
wa Zambia zilizofanyika katika Viwanja vya Ikulu ya Lusaka Nchini Zambia tarehe
24 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe.
Hakainde Hichilema wakati wakikata Keki kwenye Sherehe za Miaka 59 ya Uhuru wa
Zambia zilizofanyika katika Viwanja vya Ikulu ya Lusaka Nchini Zambia tarehe 24
Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Keki kwenye Sherehe za Miaka 59 ya
Uhuru wa Zambia zilizofanyika katika Viwanja vya Ikulu ya Lusaka Nchini Zambia
tarehe 24 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati akimuonesha kitukabla ya kukata Keki kwenye Sherehe za Miaka 59 ya Uhuru wa Zambia zilizofanyika katika Viwanja vya Ikulu ya Lusaka Nchini Zambia tarehe 24 Oktoba, 2023.
0 Comments