Wanaume,Wanawake,Watoto,Mifugo
(pichani)wakiwakimbia wapiganaji wanaojiita taifa la kiislam_Islamic
State,Wakati huohuo Marekani imeanza kuwapa silaha wapiganaji wa Kurdish
nakutoa mafunzo ya kijeshi kwa wenyeji
Yazid ambao wamekwama vileleni mwa mlima sinjar nae Rais wa Iraqi
amemteua Waziri mkuu kuziba nafasi ya Nour al-Malik nakumuagiza kuunda baraza
litakalokomesha umwagaji damu ,haijalishi kama Malik ataegemea upande wa Tehlan
au Washigton.
