Random Posts

MWANAMKE 31 APOTEZA MAISHA BAADA YA KUISHIWA PUMZI KATIKA TAMASHA LILILOHUDHULIWA NA MAELFU YA WATU

Mwana-Mke anayekadiliwa kuwa na miaka31 amekufa muda mfupi baada ya kufikishwa Hospital ya Winchester.walinzi walimkuta amezirai ndani ya choo wakati wa tamasha la muziki lililofanyika katika mji wa Boom Cundbury maelfu ya wapenzi walikusanyika katika Tamasha hilo ambalo ufanyika kila mwaka majila kama haya .Mwaka jana  katika tamasha hilo msichana Ellie Rowe 18 alipoteza maisha