![]() |
IMEANDALIWA NA,BERNARD JAMES
IRAQI_Rais Fuad Masum amefanya uteuzi wa Mr Abdi kuwa
Waziri Mkuu mpya akiziba nafasi ya Malik
.Baada ya kuteuliwa ameagizwa kuunda
baraza la Mawazri ,haraka iwezekanavyo ilikukabiliana na,wapigaji wa
ISIS-Islamic State amabao wamepania kuiagusha Serikali na kuunda Taifa la
Kiislam,litakalo ongozwa kwa sheria.
Mr Abdi anatoka katika dhehebu la Shia na chama chake
kilipata viti vingi vya ubunge ,katika
uchaguzi uliopita,Katika hotuba yake kupitia TV ya Taifa Rais Masum ameelezea
matumaini yake kwa Mr Abdi,anatumaini baraza atakalo liunda litawalinda wa Irag
Iraq sasa iko mikononi mwa Mr Abdi,Rais alilieleza France
News Agency AFP-Kufuatia kuteuliwa kwake Waziri mkuu ametoa rai kwa waIraq wote
kuungana nakuwa ,kitu kimoja dhidi ya wapigaji wa Isis
.Uteuzi wa Mr Abdi umepokelew kwa mikono miwili na mataifa
mbalimbali Duniani, Marais wa Ufaransa na Uturuki,wamemtaka Waziri Mkuu Abdi
kuteua baraza la umoja wa kitaifa kwa manufaa ya waIraqi wote.
ABDI NI NANI?
Haider al Abdi amezaliwa 1952 katika jiji la Bagdad na ni
msomi mwnye PHD ya Umeme,ni Engineer-amesoma chuo cha UK University Manchester.
Ameishi uhamishoni
London uingereza wakati wa utawala wa Saddam Husein,Arirudi Iraq baada ya
Saddam kuondolewa madarakani
Ameshika nafasi mbalimbali za uongozi ,ikwemo Waziri wa
Mawasilano pia amekuwa katika kamti za fedha na uchumi.
Wakati huo Marekani imeanza kutoa misaada kwa wapiganaji wa
Kikurdish,Peshmerga kwa kusambaza Silaha kwa ajili yakukabiliana na Isis,pia
imeanza kutoa mafunzo ya kijeshi kwa jamii ya
Yazidi ambao ni wakristo walio wachache na ambao wameasilika sana na
vita vinavyoendelea,kitu kilichopelekea kukimbilia katika milima ya
Sanjar,Serikali ya Iraqi nayo ikobega kwa bega na wapinaji wa Kikurd na
imepeleka ndege mbili zilizo jaza siraha kwa ajili yakukabiliana nawapiganaji
wa Isis,hii ninafasi nzuli kwa wakurdish kujijenga kijeshi maana wamekuwa
katika hali ya kunyanyaswa tangu utawala wa Saddam,
Kwahiyo hii misaada ya siraha wanazopewa kwa
ajili ya kukabilana na wapinaji wa Isis
itawafanya kujijenga kiuwezo
