Random Posts

LIBYA HALI TETE_MKUU WA POLISI SERIL MOHAMED SWEISS AUWAWA KATIKA MAPIGANO

HABARI IMEANDALIWA NA BERNARD JAMES
LIBYA_Hali bado tete nchini Libya,Mkuu wa Polis wa Libya ameuwawa jana jumanne wakati wamapigano ya kuukomboa Uwanja wa kimataifa wa Ndege Tripol Intanational Airport,
Mohamed Sweiss ,mashuhuda wanasema watu waliofunika sura zao na vitambaa walimvamia Mkuu huyo wa Polisi na kumpiga risasi, Sweiss alifia njiani,wakati akikimbizwa katka klinik iliyo karibu,
              Msemaji wa Serikali ya mpito amesibitisha kutokea kwa mauaji ya Sweiss nakuahidi kutoa taarifa kamili baada ya uchunguzi wa kina ,pia wanasubili kupata taarifa za ndani kutoka kwa walinzi wake 2 ambao kabla ya kutokea mauaji walitekwa na baadae kuachiliwa alisema Lana ambae ni msemaji wa Serikali ya mpito,
Wakati huohuo serikali ya mpito imetangaza kufanyika kwa uchaguzi mkuu mala hali ya usalama itakapo tengamaa(Imalika) Rais atachaguliwa kwa kupigiwa kura na wa Libya wenyewe,Tangu kuangushwa kwa Serikali ya Libya,nakisha kuuwawa kwa kanal Muhamad Gadafi hali ya utulivu nchini Libya imetoweka,vikundi mbalimbali vyenya siraha vimekuwa vikigombea kumiliki utajili wa mafuta,Siraha za kisasa zimeangukia mikononi mwa magaidi,na Serikali ya mpito jeshi lake limekuwa dhaifu kuweza kuizibiti hali hiyo,