Random Posts

Maonyesho ya biashara ya bidhaa za Kichina kuanza tarehe 21 hadi 24 mwezi huu Diamond Jubilee                               

 Na_Bernard James      


DSC_0023DSC_0016
Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na KilimoTanzania Bw. Daniel Machemba akiongea na waandishi habari (hawapo pichani) kwenye mkutano wa waandishi kuhusu maonyesho ya bidhaa za Kichina, kushoto kwake ni Mwakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka Jamhuri ya Watu China nchini Tanzania Bi.Wang Fang, na kulia kwake ni Bi Rehema Mtingwa Afisa wa Mawasiliano kutoka TPSF.
Mwakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka Jamhuri ya Watu China nchini Tanzania Bi.Wang Fang akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani).
DSC_0021
 Baadhi wa washiriki waliohudhuria kwenye mkutano wa waandishi kuhusu maonyesho ya bidhaa mbalimbali  za Kichina yatakayoanza tarehe 21 hadi 24 mwezi huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam.
DSC_0042
DSC_0113
Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na KilimoTanzania Bw. Daniel Machemba akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa biashara kutoka Jamhuri ya Watu wa China mara baada ya mkutano na Waandishi