Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akiongea na baadhi wa Watendaji wakuu wa
Wakala wa Serikali (hawapo pichani) wakati akifungua jukwaa la kujadili uimarishaji wa mchakato wa
Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kutumia TEHAMA.
Katibu wa Sekretarieti ya
Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi (aliyesimama) akiwasilisha mada
kuhusu matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yalivyorahisisha
mchakato wa ajira na kupunguza gharama za serikali.
Sehemu ya Watendaji wakuu wa Wakala za Serikali
wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Bi. Susan Mlawi wakati wa majadiliano
kuhusu uimarishaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kutumia
TEHAMA.
Baadhi ya watendaji wakuu wa
Taasisi wakitoa mchango wao wakati wa majadiliano kuhusu uimarishaji wa mchakato
wa Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kutumia Teknolojia ya Habari na
Mawasiliano (TEHAMA)
Baadhi ya watendaji wakuu wa
Taasisi wakitoa mchango wao wakati wa majadiliano kuhusu uimarishaji wa mchakato
wa Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kutumia Teknolojia ya Habari na
Mawasiliano (TEHAMA)
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi
(katikati) pamoja na baadhi ya Watendaji wakuu wa Wakala za Serikali baada ya
kumaliza majadiliano kuhusu uimarishaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa
Umma kwa kutumia TEHAMA.
Picha
zote kwa hisani ya kitengo cha Mawasiliano Serikalini Sekretarieti ya Ajira
Karika Utumishi wa Umma.





