Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akisalimiana na Bibi,Monica Patricio Balozi mpya wa
Msumbiji katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo,(katikati) Balozi Mdogo wa Msumbiji
anyefanyia kazi zake Zanzibae Bw. Jorge Augusto Menezes
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akizungumza na Balozi mpya wa Msumbiji
katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bibi,Monica Patricio mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
kujitambulisha leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akizungumza na Balozi mpya wa Msumbiji
katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bibi,Monica Patricio (wa pili
kulia) akiwa na ujumbe aliofuatana nao mara walipofika Ikulu Mjini
Zanzibar.
[Picha na Ikulu.]07/09/2016.