Random Posts

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA ENEO LILILOKUWA NA NYUMBA ZA MAGOMENI KOTA, AONGEA NA WAAKAZI WAKE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Waziri wa Ardhi Mhe John Lukuvi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul makonda, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Ali Hapi na viongozi wengine akitembelea eneo lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi wa  nyumba za Magomeni Kota  Bw. George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa  Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Magufuli akihutubia  alipotembelea na  kuongea na wakaazi wa  Magomeni Kota wilaya ya Kinondoni  jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016 

 Wananchi wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana  mikono na mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi  wa  nyumba za Magomeni Kota  Bw. George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa  Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
 
 Kiongozi wa wakaazi wa  nyumba za Magomeni Kota Bi Mwajuma  Sama akiongea machache na kuomba dua  Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli   alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa  Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akimfariji  Bi. Mwajuma  Sama  kwa taabu walizopata  yeye kiongozi na wakaazi wenzie  wa   Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli   akisindikizwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki   Boniface Jacob alipotembelea na kuongea na wakaazi  wa  iliyokuwa  Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli   akimshukuru wakili Twaha Taslima wa Law Chambers  kwa kusimamia vyema maswala ya mgogoro wa eneo iliyokuwa  Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016

PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments