Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipanda kwenye
gorofa ya kwanza katika mojawapo ya
mabweni yanayojengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA katika Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam. Mabweni hayo yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 3840
kwa wakati mmoja na yatakamilika mwezi wa kumi na mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akipata maelezo kuhusu ujenzi wa mabweni hayo kutoka kwa
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo(TBA) Arch. Elius Mwakalinga, Mabweni hayo
yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafuzi zaidi ya 3840.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo
kuhusu ujenzi wa mabweni hayo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo
Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafuzi
zaidi ya 3840.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya maeneo katika gorofa ya kwanza ya moja
ya mabweni hayo katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
Elimu Profesa Joyce Ndalichako wakiangalia kwa furaha maendeleo ya ujenzi wa
mabweni hayo unavyoendelea kwa kasi katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es
Salaa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiendelea na ukaguzi wa ujenzi wa Mabweni hayo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi wa mabweni
katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi
waojenga mabweni hayo kutoka kwa Wakala wa Majengo nchini TBA. Wengine katika
picha ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Waziri wa Elimu, Sayansi
na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako, Mtendaji Mkuu wa TBA Arch. Elius
Mwakalinga, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Joseph Nyamhanga, Mkuu wa
Wilaya ya Ubungo Hamfrey Polepole.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi
waojenga mabweni hayo kutoka TBA.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Aggrey Tisa Sabuni Mjumbe maalum wa Rais wa Sudani Kusini aliyefika Ikulu kwa
ajili ya mazungumzo na kuwasilisha ujumbe kutoka kwa Rais huyo wa Sudan kusini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Burudi uliowasilishwa
kwake na Alain Nyamitwe Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Picha na IKULU











0 Comments