Random Posts

RAIS DKT SHEIN ALIPOZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji   kuhusu  utekelezaji wa Programu ya   Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji   kuhusu  utekelezaji wa Programu ya   Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
 Baadhi ya Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao katika  Mkutano wa siku moja kuhusu Programu ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
 Baadhi ya Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao katika  Mkutano wa siku moja kuhusu Programu ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.

[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.   

Post a Comment

0 Comments