Random Posts

RAIS DKT, SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI UWEZESHAJI ZANZIBAR.

 Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto ukimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipoingia katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja leo katika mkutano kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto kuhusu  Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
 Baadhi ya  Viongozi wa  Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo  kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
 Wasaidi wa Rais wakifuatilia kwa makini michango mbali mbali iliyotolewa katika mkutano wa siku moja wa Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,ulizungumzia Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2015-20120,uliofanyika leo Ikulu Mjini unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelekezo kwa   Uongozi wa Wizara ya Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,  (haupo pichani ) kuhusu  utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,leo wakati wa mkutano wa siku moja uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto kuhusu  Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
 Katibu Mkuu wa  Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,Bi.Fatma Gharibu Bilali akisoma baadhi ya vifungu wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja uliofanyika leo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Bi.Mauwa Makame Rajab na Mshauri wa Rais Uchumi Mzee Abrahman Mwinyi Jumbe,(kushoto)
Mkurugenzi wa Ajira katika Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Nd,Ameir Ali Ameir alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu  Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,katika mkutano wa siku moja uliofanyika ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) Bi,Fatma Iddi Kamishna wa Kazi,
[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.

Post a Comment

0 Comments