Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akipokuwa akimkabidhi cheti Rais Mstaafu wa tanzania
Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati wa kuwazawadia wachangiaji waliochangia
kiwango kikibwa cha Fedha katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya
michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika
Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akipokuwa akimkabidhi cheti Mwakilishi wa Mamlaka ya
Maji Safi na Salama (ZAWA) Nd,Kazija Mussa Msheba wakati wa kuwazawadia
wachangiaji waliochangia kiwango kikibwa cha Fedha katika hafla ya
uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar
iliyofanyika jana katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la
Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akipokuwa akimkabidhi cheti Kamishana Mkuu wa ZRB
Nd,Amour Hamilbakari wakati wa kuwazawadia wachangiaji waliochangia
kiwango kikibwa cha Fedha katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya
michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika
Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akipokuwa akimkabidhi cheti Waziri wa
Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mhe,Rashid Ali Juma wakati wa
kuwazawadia wachangiaji waliochangia kiwango kikibwa cha Fedha katika
hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za
Zanzibar iliyofanyika jana katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la
Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akipokuwa akimkabidhi cheti Mkewe Mama Mwanamwema Shein
wakati wa kuwazawadia wachangiaji waliochangia kiwango kikibwa cha Fedha
katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za
Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika Ukumbi wa zamani wa
Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wafanyabishara na Viongozi mbali
mbali wakati wa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli
za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika Ukumbi wa zamani wa
Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki
Pembe Juma alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la
Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja jana katika hafla ya uchangiaji wa
Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakifuatana na Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) walipokuwa
wakiingia katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
Mmoja Mjini Unguja jana katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo
katika Skuli za Serikali za Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiwa na Viongozi mbali
mbali katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za
Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika Ukumbi wa zamani wa
Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja akiwepo Rais Mstaafu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi (wa pili kulia),
Viongozi na Wafanyabiashara mbali mbali wakiwa katika ukumbi wa zamani
wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja wakiwa hafla ya
uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar
iliyofanyika jana katika mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi ya wawakilishi wa Makampuni ya kibiashara wakiwa hafla ya
uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar
iliyofanyika jana katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
Mmoja Mjini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),
Mfanyabishara wa Zanzibar Said Bophar alipokuwa akitangaza mchango wake
mbele ya uuma uliokusanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la
Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja wakati wa hafla ya uchangiaji wa
Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika
jana, mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),
Mwakilishi wa Mamlaka ya Maji safi na Salama ZAWA Nd,Kazija Mussa
Msheba akitangaza mchango wao wa Millioni tano wakati wa hafla ya
uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar
iliyofanyika jana,katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
Mmoja Mjini Unguja ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma alipokuwa
akitangaza mchango wake wa Milioni moja kumdhamini Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla ya
uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar
iliyofanyika jana katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la
Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja,
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipokuwa akitangaza
mchango wa Millioni nane kwa niaba ya familia yake kumdhamini Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwa mgeni rasmi katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya
michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika
viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja,
Picha ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akipiga mpira wakati wa Uzinduzi wa Mashindano ya Vyuo
Vikuu ikinadisha wakati wa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo
katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja
vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kushoto) pamoja na
Mshauri wa Rais Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi pia
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchangiaji Vifaa vya Michezo katika Skuli za
Serikali za Zanzibar Mhe.Mohamed Ramia wakiwangalia picha ya zamani
wakati Dk.Shein alivyokuwa akishiriki mchezo wa Riadha katika Skuli ya
Lumumba picha hiyo iliyofikishwa katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya
michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika
viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipokuwa akimtunza
Mwimbaji Makame Faki (Sauti ya Zege) wakati alipokuwa akiimba kikundi
cha taifa cha Muzikiwa Taarab kikitumbuiza katika hafla ya uchangiaji
wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika
jana katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na
wachangiajhi waliopewa Vyeti wakati wa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya
michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika
Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja,

0 Comments